MECHI ya Ligi Kuu Bara kati ya wenyeji, Dodoma Jiji dhidi ya Simba, imemalizika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, huku ikishuhudiwa pambano hilo lililokuwa la kuvutia kutokana na ...
Klabu mbili maarufu za soka nchini Tanzania, Yanga na Simba zinateremka dimbani leo kwa mchezo wa ratiba ya ligi kuu unaotarajiwa kutoa mwelekeo wa mashindano hayo ya kandanda kwa mwaka 2024/25.
Hayawi, hayawi sasa yamekuwa! Yamebakia masaa machache tu wa kushuhudia ule mtanange wa Kariakoo Derby uliosubiriwa kwa hamu huko nchini Tanzania kati ya watani wa jadi, Simba Sports Club na Young ...